KUELEKEA  KILELE CHA  SIKU YA VIJANA DUNIANI-12/08/2017

  Siku ya vijana ndio imezinduliwa rasmi leo na Mh. Anthony Mavunde,mbunge wa Dodoma mjini, hapa Dodoma.Ikiwa nimehudhuria kama kijana,mwakilishi wa team ya Twentiesco na UNFPA-YAP , ningependa kuwashirikisha mambo manne ambayo mheshimiwa ameyagusia hususani kwa vijana. Vijana lazima tujiamini,tuwe na matumizi sahihi ya mitandao ya kijamii na vyombo vya habari,kuzingatia maadili na matumizi mazuri ya muda. Haya na mengine mengi yameongelewa. Lakini ,Je wewe … Continue reading KUELEKEA  KILELE CHA  SIKU YA VIJANA DUNIANI-12/08/2017

USILOJUA KUHUSU SHINIKIZO LA JUU LA DAMU

Habari Mpenzi msomaji wa Twentiesco blog,blog pendwa kwa vijana Kati ya miaka 20-29 tukizungumzia mambo mbalimbali kuhusu kujijenga katika vipindi hiki kuelekea Utu uzima. Mada ya leo ,ni mada kwa ajili ya  kila mtu mtoto kwa mtu mzima hivyo kama ni mara ya Kwanza kufika Twentiesco karibu na kama sio basi Karibu tena na Asante kwa kurudi. Leo tunaongelea  SHINIKIZO LA DAMU maarufu kama “presha”. … Continue reading USILOJUA KUHUSU SHINIKIZO LA JUU LA DAMU

MAMBO MUHIMU KUFAHAMU KUHUSU KANSA YA SHINGO YA KIZAZI

Habari zenu wasomaji was blogu hii. Karibuni katika makala nyingine katika blog hii. Leo tutazungumzia Kansa ya shingo ya kizazi . Kwa lugha rahisi kabisa ,kansa ni ugonjwa unaosababishwa na kubadilika Kwa seli za sehemu fulani ya mwili. Seli hizi husambaa katika maeneo jirani na kushindwa kufanya kazi zake vizuri. Hivyo Kansa ya shingo ya kizazi (Kwa kiingereza cervical cancer ) ni hali inayotokea katika … Continue reading MAMBO MUHIMU KUFAHAMU KUHUSU KANSA YA SHINGO YA KIZAZI

USILOJUA KUHUSU KUJIAMINI

Habari yako msomaji  wa blog hii , Ni matumaini yangu kuwa u mzima wa afya na kwamba unaendelea kuongeza bidii katika kujijenga kuwa mtu bora zaidi. Nafurahi na kufarijika  sana kuona kwamba kazi yangu inapokelewa vizuri. Wiki hii tutaongelea juu ya kujiamini na kujiona mwenye thamani. Katika kipindi cha miaka yako ya ishirini , kujiamini ni muhimu sana na kutachangia katika mafanikio yako. Hivyo nakuletea … Continue reading USILOJUA KUHUSU KUJIAMINI

HATUA NNE ZA MAISHA 2

Habari zako msomaji wa blog hii, Napenda kukushukuru kwa kusoma blog ya Twentiesco . Natumaini unayoyasoma hapa yatakusaidia katika miaka yako ya ishirini. Kama utapenda post hii basi usisite kuwatonya wenzako ili nao wasikose mambo haya kuntu . Posti hii ni muendelezo wa posti ya hatua kuu nne za maisha tuliyoisoma wiki jana. Kama hukuisoma basi Bonyeza hapa ili kuioma kusudi tuende pamoja. KARIBU  Inabidi ieleweke kuwa stage … Continue reading HATUA NNE ZA MAISHA 2

MARAFIKI ZAKO HUFANYA NINI KWAKO

Dada yangu alikuwa akiniuliza kuhusu marafiki zangu hapo kabla. Kwa umri wangu niliju anafanya kile ambacho dada yeyote angefanya. sasa naelewa zaidi. Kama ilivyoombwa na mmoja wa wasomaji wa blog hii. Leo tutaongelea mchango wa marafiki katika maendeleo na ukuaji binafsi. Mimi naamini kwamba kukua na kujiendeleza ni kitu muhimu kwa kila mmoja wetu . Hebu tuangalie mambo haya kuntu kuhusu marafiki. Marafiki wenye msimamo … Continue reading MARAFIKI ZAKO HUFANYA NINI KWAKO

HATUA NNE KATIKA MAISHA

Habari yako ,Ni matumaini yangu kuwa u mzima wa afya. Wiki hii nakuletea hatua nne kuu katika maisha ya Binadamu . Karibu na asante kwa kusoma blog hii. UIGAJI Katika hatua hii ya kwanza sisi ni wanyonge, hatuwezi kuzungumza, kutembea au kujilisha wenyewe. Sisi hukopi kutoka kwa wazazi wetu au walezi wetu. Watu wazima katika jamii inayotuzunguka hutusaidia  kufanya maamuzi na kuchukua hatua wenyewe. Lakini … Continue reading HATUA NNE KATIKA MAISHA